Thursday, November 8, 2012

RIHANNA AMUONGEZA ASAP ROCKY KWENYE “DIAMONDS WORLD TOUR”…….



Ile story kuhusu WORLD tour ya Rihanna na kuipromote albam yake mpya inayotarajiwa kudrop Nov hii hivi sasa imefika patamu kinoma.
Baada ya kudrop single ya kwanza inayosumbua kinomanoma hivi sasa “Diamond” Rihanna alitangaza tour aliyooiita “Diamonds World Tour” baada ya albam kuwa kitaa na alitangaza tour hiyo kuanza mwakani 2013.
Sasa mbali na kutoa ratiba rasmi ya tour hiyo….Rihanna pia amemtangaza rapper aliyeanzia kwenye uongozaji wa Music Videos…ASAP ROCKY kuwa mmoja kati ya wasanii watakaoandamana nae kunako tour hiyo.
“We Found Love” hit maker ametangaza tour hiyo kuanzia Buffalo, New York Niagara Center March 08 na mipango ya kupiga shows Philadelphia  Pennsylvania, Chicago Illinois na Los Angeles California.
Na baadae tour hiyo kumalizikia Brooklyn New York Barclays Centre May 04…tiketi zimeshaanza kuuzwa na zinapatikana kupitia LiveNation.com.

No comments:

Post a Comment