Thursday, November 15, 2012

NEW TRACK BY OMMY DIMPOZ FT V- ME N U

Kanye West, Alicia Keys kuperform katika tamasha kubwa litakatokwenda kwa jina la Hurricane Sandy Benefit


wakali hao wataperform katika tamasha hilo tarehe "12.12.12".na lengo kubwa katika tamasha hilo ni kuwapa moyo wahanga wa kimbunga cha sandy .tamasha hilo ambalo lipochini ya usimamizi wa Madison Square Garden Company, Clear Channel Media and Entertainment pamoja na The Weinstein Company, pia lita husisha  artist wafuatao Jon Bon Jovi, Billy Joel, Paul McCartney, Bruce Springsteen & the E Street Band, The Who, Roger Waters  na wengine kibao.

Wednesday, November 14, 2012

SAIGON ASEMA ANGEKUWA NA UWEZO ANGEWACHAPA NGUMI RICK ROSS & 2 CHAINZ…….
Asubuhi ya j5 ya leo Nov 14….mtu mzima Saigon amegonga interviews mbili ambazo kila moja amejaribu kuzungumzia mambo tofauti…interview yake ya kwanza amefanya na mtandao wa ThisIs50 ambapo ameegemea zaidi ishu yake na member wa Mobb Deep…Prodigy…interview yake ya pili amefanya ndani ya Power 105.1.
Leo nadondoka na interview yake ndani ya Power 105.1 coz nahisi alichozungumzia katika interview hiyo kina mguso wa hali ya juu…rapper huyo kutoka New York amesema angekuwa na uwezo angewachapa ngumi Rick Ross na 2 Chainz na kuwafanya mfano kwa rappers wengine wote wenye muelekeo kama wao.
Kikubwa ambacho kimepelekea Saigon kusema hivyo ni content (maudhui) ya muziki wa Rick Ross na 2 Chainz ambao yeye anauona ni hatari kwa kizazi cha sasa (teenagers)…kizazi ambacho yeye anafahamu kuwa ndo kizazi shabiki cha muziki wa HipHop na anaufananisha muziki wa rappers hao na rappers wengine wengi wanaochipuka kama uyoga hivi sasa na wenye muelekeo huo na movie za ngono.
“Iko nje ya uwezo wangu…lakini unafahamu..??ningekuwa na uwezo ningewachapa ngumi kama wasipobadili jumbe za nyimbo zao…ningependa kuwachapa ngumi kila mmoja…Rozay, 2 Chainz na yeyote anayetengeneza muziki unaoharibu watoto wetu…mi nashangaa…hawa wote wanalitegemea soko hili la hawa watoto…sote tunafahamu kuwa hata ukienda kununua movie za ngono…kuna utaratibu wake ki-umri…so inakuwaje unaimba visivyostahili kwa watoto na soko lako ni hao watoto..??sitaki kutengeneza battle na watoto wangu mwenyewe ambao wamekuwa influenced na muziki wao…nina watoto mimi ujue..??Kuna siku nilikuwa kwenye 106 & Pack…nilihuzunika sana kuona mabinti wadogo wenye miaka 13 au 14 wanafuatisha lyrics zenye maneno yanayozungumzia malaya wanavyofanya ngono…nikashtuka sana…nikawaza nani alaumiwe kwa hili..”?..amesema Saigon.
Akaongeza..”siwataji Rick Ross, 2 Chainz na wengineo pekee…bali ni mtu yeyote anayehusika na hilo…wote lao moja…kwangu mimi maendeleo ya rap ni kutafuta kinachoipandisha na kuishusha pia”.

DIAMOND THE PLATNUM AFUNGUKA KUHUSIANA NA AJALI ILIYOMPATA'DIAMOND:-Tarehe 10 ya mwezi wa 11 siku ya juma mosi ni moja ya siku ambazo sitozisahau maishani mwangu.
Baada ya kumaliza majukumu yangu ya kila siku, nilikwenda masaki kumwona mmoja wa jamaa zangu wa karibu nikiwa na Blogger wangu Bestizzo pamoja na mwanafamilkia ya wasafi Dumi(Dancer) Mishale ya saa moja hivi nikiwa maeneo ya masaki karibu na kona ya msasani nilipata ajali ambayo haikuwa kubwa sana ingawa imesababisha uharibifu kwa kiasi kikubwa, Kama mjuavyo barabara ya msasani ni ndogo na gari huwa haziko katika mwendo wa kasi... ghafla dereva wa pikipiki alikatisha mbele yangu na katika kujaribu kumkwepa nikagonga gari ndogo aina ya Rav 4 ambapo ilisababisha dereva wa pikipiki kuanguka katikati ya gari zote mbili. Hiyo ndio hali halisi ya ajali niliyokutana nayo jumamosi iliyopita.
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutunusuru wote bila majeraha makubwa zaidi ya maumivu tu ya hapa na pale.

Saturday, November 10, 2012

Justin Bieber and Selena Gomez Break Up

Justin Bieber and Selena Gomez have gone their separate ways.
wawili hao inasemekana wametengana yapata wiki moja iliyopita na hii ni kwa mujibu wa report ya E! News.
"Because of their crazy schedules, it was getting harder and harder to maintain a relationship,"chanzo hicho kimenena.

Chris Brown azungumzia mahusiano yake na rihana


CHECK OUT THIS.