Thursday, November 15, 2012

Kanye West, Alicia Keys kuperform katika tamasha kubwa litakatokwenda kwa jina la Hurricane Sandy Benefit


wakali hao wataperform katika tamasha hilo tarehe "12.12.12".na lengo kubwa katika tamasha hilo ni kuwapa moyo wahanga wa kimbunga cha sandy .tamasha hilo ambalo lipochini ya usimamizi wa Madison Square Garden Company, Clear Channel Media and Entertainment pamoja na The Weinstein Company, pia lita husisha  artist wafuatao Jon Bon Jovi, Billy Joel, Paul McCartney, Bruce Springsteen & the E Street Band, The Who, Roger Waters  na wengine kibao.

No comments:

Post a Comment