Tuesday, November 6, 2012

Huyu ni Juan James Rodriguez ndie jamaa ambaye alijitokeza mbele ya rais wa Marekani, Barack Obama akiwa uchi wa mnyama huku akiwa na maandishi ya kutangaza tovuti ya bilionea Alki David, amejishindia zawadi ya dola milioni 1 toka kwa bilionea huyo



No comments:

Post a Comment